Nenda kwa yaliyomo

Pat Patrick (mwanamuziki)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pat Patrick
Patrick 1981
Patrick 1981
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Laurdine Kenneth Patrick Jr
Amezaliwa 23 Novemba 1929
Asili yake East Moline, Illinois, U.S.
Amekufa 31 Desemba 1991
Aina ya muziki Avant-garde jazz, free jazz, experimental music, swing music
Kazi yake mwanamuziki,mtunzi

Laurdine Kenneth "Pat" Patrick Jr (23 Novemba 1929 - 31 Desemba 1991) [1]alikuwa mwanamuziki na mtunzi wa nchini Marekani. akiimba saksafoni baritone, saksafoni alto na Bass Fender na alijulikana kwa miaka yake 40 akiwa na Sun Ra. [2] Mtoto wake alikuwa akijulikana kama , Deval Patrick, alikuwa gavana wa zamani wa Massachusetts.[3][4][5]

  1. https://www.grammy.com/artists/pat-patrick-williams/12887
  2. "Ancestry of Deval Patrick". Iliwekwa mnamo Machi 25, 2010.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. https://www.autosport.com/indycar/news/pat-patrick-obituary-indycar-team-owner-dies-aged-91-4975970/4975970/
  4. https://www.discogs.com/artist/252025-Pat-Patrick
  5. https://m.imdb.com/name/nm0665903/
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pat Patrick (mwanamuziki) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.