Nenda kwa yaliyomo

Pat Benatar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Benatar performing in 2007

Patricia Mae Giraldo; alizaliwa Januari 10, 1953), anajulikana kama Pat Benatar, ni mwimbaji wa muziki wa roki na mtunzi wa nyimbo wa nchini Marekani. amekuwa na albamu mbili za multi-platinum, albamu tano za platinum, na nyimbo 15 bora zaidi kwenye Billboard Hot 100.

Akiwa Kanada alikuwa na albamu nane za platinum na ameuza zaidi ya albamu milioni 35 duniani kote. Pia ni mshindi mara nne wa tuzo ya Grammy.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pat Benatar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.