Nenda kwa yaliyomo

Paolo Bossoni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Paolo Bossoni (alizaliwa tarehe 2 Julai 1976 huko San Secondo Parmense) ni mwendesha baiskeli wa kitaalamu wa mbio za barabarani kutoka Italia.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paolo Bossoni kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.