Nenda kwa yaliyomo

Pallo Jordan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Zweledinga Pallo Jordan (alizaliwa Mei 22, 1942) ni mwanasiasa wa Afrika Kusini.

Alikuwa mwanachama wa Kamati ya Utendaji ya Taifa ya Baraza la Taifa la Afrika, na alikuwa waziri wa baraza la mawaziri tangu 1994 hadi 2009.

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Jordan ni mtoto wa wasomi Archibald Campbell Jordan na Phyllis Ntantala-Jordan.

Kama wazazi wake, Jordan lifanya kazi katika Umoja wa Ulaya dhidi ya ubaguzi wa rangi. Kisha akajiunga na ANC na kwenda uhamishoni, akijifunza huko Uingereza na Marekani.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pallo Jordan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.