Pakia

Nembo ya pakia.
Katika utarakilishi, pakia (kwa Kiingereza: upload) ni mchakato wa upelekaji wa data mpaka mfumo masafa, kama seva kwa mfano, ili mfumo masafa uitunze data hizo.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1)