Paka (volkeno)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Paka (volkeno) ni volkeno hai yenye kimo cha mita 1,697 juu ya UB.

Volikano hiyo iko kwenye Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki, kaunti ya Baringo.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]