Oslo
Oslo | |||
| |||
Mahali pa Oslo katika Norwei |
|||
Majiranukta: 59°54′40″N 10°44′0″E / 59.91111°N 10.73333°E | |||
Nchi | Norwei | ||
---|---|---|---|
Jimbo | Oslo | ||
Serikali | |||
- Aina ya serikali | Jimbo na manispaa | ||
- Meya | Fabian Stang (H) | ||
Eneo | |||
- Jumla | 454.03 km² | ||
- Kavu | 426.9 km² | ||
- Maji | 27.13 km² | ||
Idadi ya wakazi (2010) | |||
- Wakazi kwa ujumla | 590,041 |
Oslo ni mji mkuu wa Norwei pia mji mkubwa nchini mwenye wakazi 590,041(1.403.268) 2010). Rundiko la mji lina wakazi zaidi ya milioni.
Jiografia
[hariri | hariri chanzo]Olso iko kwenye mwisho wa kaskazini wa fyord ya Oslo (fyord ni jina la hori ndefu na nyembamba za pwani la Norwei). Visiwa 40 ni sehemu ya eneo la mji. Mahali pa juu ni mlima wa Kirkeberget mwenye kimo cha mita 629. Kuna misitu mingi ndani ya eneo la mji huu.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Kumbukumbu za Norwei ziandai ya kwamba mji uliundwa na mfalme Harald III manmo mwaka 1048 lakini wataalamu wa akiolojia wamekuta makaburi ya kikristo yanayotangulia tarehe hii.
Jengo mashuhuri la mji ni boma la Akershus lililojengwa kuanzia mwaka 1290.
Mji ulichomwa na moto mnamo 1624. Ulipojengwa upya kwa amri wa mfalme Christian IV ikapewa jina la "Kristiana" (Mji wa Christian). 1925 jina la Oslo likarudishwa.
Makala hii kuhusu maeneo ya Norwei bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Oslo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |