Orodha ya miji ya Korea Kaskazini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jedwali ifuatayo inaorodhesha miji ya Korea Kaskazini:

# Mji Wakazi
1 Pyongyang (Mji mkuu) 3,255,388
2 Hamhung 768,551
3 Chongjin 327,000
4 Nampho 455,000
5 Wonsan 331,000
6 Sinuiju 352,000
7 Tanchon 360,000
8 Kaechon 336,000
9 Kaesong 308,440
10 Sariwon 310,100