Wonsan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wonsan

Wonsan (Kikorea: 원산) ni mji nchini Korea Kaskazini. Ni mji mkubwa wa tano katika nchi wa Korea Kaskazini. Kuna wakazi 331,000.

Jiografia[hariri | hariri chanzo]

Eneo lake ni 269 km².

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu "Wonsan" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wonsan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.