Nenda kwa yaliyomo

Hamhung

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Faili:Hamhung-center-5.jpg
Hamhung
Hamhung
Hamhung

Hamhung (Kikorea: 함흥) ni mji nchini Korea Kaskazini. Ni mji mkubwa wa pili katika nchi wa Korea Kaskazini. Kuna wakazi 768,551.

Jiografia[hariri | hariri chanzo]

Eneo lake ni 330 km².

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu "Hamhung" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hamhung kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.