Orodha ya lugha za Brunei
Mandhari
Orodha hii inaorodhesha lugha za Brunei:
- Kibelait
- Kibisaya-Brunei
- Kibrunei
- Kihakka ya Kichina
- Kiiban
- Kiingereza
- Kilun-Bawang
- Kimalay Sanifu
- Kimandarin ya Kichina
- Kimelanau ya Katikati
- Kimin-Dong ya Kichina
- Kimin-Nan ya Kichina
- Kipenan-Mashariki
- Kitutong
- Kiyue ya Kichina