Kitutong

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitutong ni lugha ya Kiaustronesia nchini Brunei inayozungumzwa na Watutong. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kitutong imehesabiwa kuwa watu 16,600. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitutong iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitutong kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.