Orlando Julius
Mandhari
Orlando Julius Aremu Olusanya Ekemode (anajulikana pia kama Orlando Julius au Orlando Julius Ekemode; 22 Septemba 1943 - 14 Aprili 2022) alikuwa mpiga kinanda, mwimbaji, kiongozi wa bendi, na mtunzi wa nyimbo wa Nigeria aliyehusishwa kwa karibu na muziki wa afrobeat.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Denselow, Robin (26 Aprili 2022). "Orlando Julius obituary". The Guardian. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 27 Aprili 2022. Iliwekwa mnamo 27 Aprili 2022.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Orlando Julius kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |