Orchestra Maquis Original
Mandhari
Orchestra Maquis Original ni bendi ya muziki wa dansi kutoka Lubumbashi (Zaire) inayokaa Dar es Salaam.
Ilianzishwa mwaka 1970. Waligundua mitindo kamanyola bila jasho, sanifu, ogelea piga mbizi na zembwela.
Wanachama kadhaa
[hariri | hariri chanzo]- Chinyama Chianza (saksafoni)
- Nguza Mbangu (gitaa)
- Mbuya Makonga (mwimbaji)
- Tshimanga Assosa (mwimbaji)
- Ilunga Mbanza (besi)
- Dekula Kahanga (gitaa)
- Kasaloo Kyanga
- Kyanga Songa
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Afrika bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Orchestra Maquis Original kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |