Once Upon a Time in the West
Mandhari
Once Upon a Time in the West | |
---|---|
| |
Imeongozwa na | Sergio Leone |
Imetungwa na | Dario Argento Bernardo Bertolucci Sergio Leone Sergio Donati |
Imetaarishwa na | Bino Cicogna |
Nyota | Charles Bronson Claudia Cardinale Henry Fonda Jason Robards |
Muziki na | Ennio Morricone |
Imesambazwa na | Paramount Pictures |
Muda wake | Dk. 145 |
Imetolewa tar. | 21 Desemba 1968 |
Nchi | Italia |
Lugha | Kiingereza |
Once Upon a Time in the West (filamu halisi ilitolewa nchini Italia mnamo mwaka 1968 kwa jina la C'era una volta il West) na ikaja kutolewa tena nchini Marekani mnamo mwezi Mei ya mwaka wa 1969. Ni utunzi wa filamu aina ya spaghetti western iliyoongozwa na Sergio Leone.
Washiriki
[hariri | hariri chanzo]Mwigizaji | Jina alilotumia |
---|---|
Henry Fonda | Frank |
Claudia Cardinale | Jill McBain |
Jason Robards | Cheyenne |
Charles Bronson | Harmonica |
Gabriele Ferzetti | Morton (railroad baron) |
Paolo Stoppa | Sam |
Woody Strode | Stony (moja ya mshirika wa Frank) |
Jack Elam | Snaky (moja ya mshirika wa Frank) |
Keenan Wynn | Sheriff (mpigaji mnada) |
Frank Wolff | Brett McBain |
Lionel Stander | Barman |
Ona pia
[hariri | hariri chanzo]Waongozaji na Waigizaji wa Filamu za Western
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- http://www.dvdtimes.co.uk/content.php?contentid=11651
- http://www.ruthlessreviews.com/movies/o/onceuponatimeinthewest.html Ilihifadhiwa 13 Mei 2006 kwenye Wayback Machine.
- http://www.fistful-of-leone.com/articles/knox.html
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
- Once Upon a Time in the West at the Internet Movie Database
- Once Upon a Time in the West Ilihifadhiwa 19 Juni 2010 kwenye Wayback Machine. katika the Spaghetti Western Database
- Once Upon a Time in the West katika Rotten Tomatoes
- List of bloopers and continuity errors in the film
- Review of DVD of film
- Stills of monument valley Ilihifadhiwa 27 Agosti 2006 kwenye Wayback Machine.