Omobola Johnson
Mandhari
Omobola Olubusola Johnson (amezaliwa 28 Juni 1963) ni mwanateknolojia kutoka Nigeria na Mh. Mwenyekiti wa Muungano wa Kimataifa wa Mtandao wa bei nafuu (A4AI). [1] [2] [3] [4] [5]
Yeye pia ni [2] [6] Waziri wa zamani na wa kwanza wa Teknolojia ya Mawasiliano kwenye baraza la mawaziri la Rais Goodluck Jonathan. [7] [3] [8] [9] [10]
Elimu
[hariri | hariri chanzo]Alisoma kwenye Shule ya Kimataifa ya Ibadan na Chuo Kikuu cha Manchester (BEng, Uhandisi wa Umeme na Elektroniki) na Chuo cha King's London (MSc, Digital Electronics). [11] Ana Shahada ya Uzamivu katika Utawala wa Biashara (DBA) kutoka Chuo Kikuu cha Cranfield . [12] [13]
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "a4ai welcomes Dr. Omobola Johnson as new honorary chair". Septemba 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ 2.0 2.1 "Ex-minister, Mobola Johnson, seeks equal opportunities for career women". Punch Newspapers (kwa American English). 14 Desemba 2017. Iliwekwa mnamo 2020-05-23.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ 3.0 3.1 "Vanguard newspaper – Page 213 – Channels Television". Iliwekwa mnamo 2020-05-23.
- ↑ "Indigenous operators condemn government's low patronage". guardian.ng. 26 Julai 2016. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-10-12. Iliwekwa mnamo 2020-05-23.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Foreign debt: Nigeria, other debtor countries, at risk, IMF warns". The Sun Nigeria (kwa American English). 2018-04-17. Iliwekwa mnamo 2020-05-23.
- ↑ "Ex-minister fumes over N29,000 'crazy bill' for power not used". Tribune Online (kwa Kiingereza (Uingereza)). 2020-05-22. Iliwekwa mnamo 2020-05-23.
- ↑ "Omobola Johnson". Omobola Johnson – World Economic Forum.
- ↑ "Telecom operators seek executive order to stop multiple taxes". Punch Newspapers (kwa American English). 24 Mei 2019. Iliwekwa mnamo 2020-05-23.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Buhari unfair to ministers - Omobola Johnson". Vanguard News (kwa American English). 2015-09-17. Iliwekwa mnamo 2020-05-23.
- ↑ editor (2019-06-20). "Ex-minister Harps on Gender Inclusion". THISDAYLIVE (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2020-05-23.
{{cite web}}
:|author=
has generic name (help) - ↑ "Omobola Johnson". World Bank Live (kwa Kiingereza). 2018-03-29. Iliwekwa mnamo 2020-05-23.
- ↑ "Omobola Johnson". cranfield.ac.uk.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-02-28. Iliwekwa mnamo 2022-02-21.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Omobola Johnson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |