Omar Belatoui
Mandhari
Omar Belatoui (alizaliwa 6, Aprili, 1969 huko Oran) ni meneja wa soka wa Algeria, mchezaji wa zamani wa kimataifa [1]na kocha mkuu wa sasa wa klabu ya MC Oran.[2] Omar Alichezea Algeria kwa mara 31. [3]
Heshima
[hariri | hariri chanzo]klabu
- Alishinda ligi ya Algeria mara mbili akiwa na klabu ya MC Oran mnamo 1988 na 1993
- Alishinda Kombe la Algeria a na klabu ya MC Oran mnamo 1996
- Alishinda Kombe la Ligi ya Algeria akiwa na klabu ya MC Oran mnamo 1996
- Alishinda Kombe la Washindi wa Kombe la Kiarabu mara mbili akiwa na klabu ya MC Oran mnamo 1997 na 1998
Kitaifa
- Alishinda Kombe la Mataifa ya Afro-Asia 1991.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Ligue1 : Saoura, El Harrach et Tadjenanet changent de coachs‚ dzfoot.com, 29 January 2018
- ↑ "Football: Omar Belatoui, nouvel entraîneur du MCO". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-08-30. Iliwekwa mnamo 2023-06-13.
- ↑ 21723 at National-Football-Teams.com
Viungo Vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Takwimu za Omar Belatoui - dzfootball Ilihifadhiwa 26 Februari 2012 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Omar Belatoui kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |