Numidia Lezoul

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Numidia Lezoul
Amezaliwa Numidia Lezoul
10 Februari 1996
wilaya ya Tizi Ouzou,
Jina lingine Numidia Lezoul
Kazi yake Mwaljeria mwigizaji

Numidia Lezoul (alizaliwa katika wilaya ya Tizi Ouzou, 10 Februari 1996), ni Mwaljeria mwigizaji.

Alijifunza muziki na utamaduni kwa miaka 8. Mwaka 2016, alianza jukumu la uigizaji akisaidiana na 'Bouzid's dada Zahra' katika luninga ya ucheshi Buside Days.[1] Mwaka 2017 alionekana kwenye msururu wa vipindi vya luninga Taht almuraqaba kama 'Abdullah's American fiancée'. Mwaka huo huo, alishiriki kwenye maonyesho ya michezo ya Chiche Atahaddak nchini aljeria .[2]

Filamu zake[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Filamu Uhusika Aina
2016 Buside Days fifi TV Sinema
2017 Taht almuraqaba Abdullah's American fiancée TV Sinema

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Numidia Lezoul kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.