Ntsikana kaGabha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ntsikana kaGabha (1780 - 1821) alikuwa mhubiri Mkristo wa Afrika Kusini.

Alitunga nyimbo za Kikristo kwa lugha yake ya Kixhosa nazo zilitafsiriwa baadaye kwa Kiingereza.

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN: 1-86914-028-1
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.