Norman Powell

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Norman Powell katika onyesho la kwanza la The Carter Effect, Tamasha la Filamu la Toronto la 2017
Norman Powell katika onyesho la kwanza la The Carter Effect, Tamasha la Filamu la Toronto la 2017

Norman WC Powell (amezaliwa Mei 25, 1993[1]) ni mchezaji wa mpira wa kikapu kutokea Marekani anachezea timu ya Los Angeles Clippers katika chama cha mpira wa kikapu Marekani (NBA). Powell alicheza mpira wa kikapu wa mashindao ya vyuo vikuu akiwa na timu ya chuo kikuu cha UCLA Bruins, ambapo alikuwa mchezaji wa all-conference katika Pac-12. Alichaguliwa katika raundi ya pili ya drafti ya NBA ya 2015 na Milwaukee Bucks, ambaye baadaye alibadilisha haki zake za drafti kwa Toronto Raptors. Alishinda ubingwa wa NBA akiwa na Toronto mnamo 2019.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Norman Powell - Men's Basketball (en). UCLA. Iliwekwa mnamo 2023-05-19.