Nordend

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mlima wa Nordend, upande wa Mashariki

Nordend ni mlima wa Alpi kati ya nchi za Italia na Uswisi (Ulaya).

Urefu wake ni mita 4,609 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]