Nombulelo Hermans

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nombulelo Lilian Hermans (Januari 1 mwaka 1970 - Januari 18, 2021) alikuwa ni mwanasiasa wa kongamano la taifa la Afrika kutoka Afrika ya Kusini ambaye alitumikia kama mjumbe wa bunge la Afrika kusini kuanzia mwaka 2019 mpaka kifo chake mnamo mwaka 2021.