No Filter
Mandhari
Makala hii inahitaji vyanzo zaidi ili kuwezesha kuonyesha uthibitisho. |
No Filter ni lebo ya reli inayotumiwa kwenye mitandao ya kijamii kumaanisha kuwa hakuna picha ambayo imechujwa.
Inatumika sana kwenye Instagram. Kulingana na utafiti wa Spredfast mwaka wa 2018, 11% ya machapisho ya Instagram yenye No Filter yalitumia kichujio.