Nimrod Elireheemah Mkono

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nimrod Elireheemah Mkono (amezaliwa tar. 18 Agosti 1943)katika kijiji cha Busegwe ni mbunge wa jimbo la Musoma Vijijini alianza ubunge mwaka 2000~2015 bado ni mbunge wa musoma vijijini katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.nimrod mkono ni mwana maendeleo kwa sababu amejenga shule nyingi baadhi ya shule ni chief ihunyo iliyopo kijiji cha busegwe,shule ya msingi busegwe,chief wanzagi,chief oswald mang'ombe,shule ya sekondari Butuguri,shule ya sekondari kasoma na nyingine nyingi uchaguzi wa mwaka 2010 alipita bila kupingwa na pia ni wakili wa kimataifa wa kujitegemea pia nimrod mkono ni mzanaki kabila ambalo rais wa kwanza wa tanzania julius kambarage nyerere alikuwa na pia mheshimiwa mkono ametoa mchango mkubwa kufanikisha kupatikana kwa wilaya mpya ya butiama[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Amechaguliwa kuwa mbunge wa Butiama kwa miaka 20152020. [2]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mengi kuhusu Nimrod Elireheemah Mkono". 17 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-20. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011. 
  2. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017