Nenda kwa yaliyomo

Nikola Kovačević (mwanasheria)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nikola Kovačević (alizaliwa mwaka 1989) ni mwanasheria anayejihusisha na masuala ya haki za binadamu nchini Serbia[1]. Katika mwaka 2021 alifanikiwa kutunukiwa tuzo ya UNHCR Nansen Refugee Award, Ulaya. Nikola Kovačević ni anashughulika na masuala ya kutetea haki za binadamu za wakimbizi huko Serbia [2]. vilevile hushughulika na kuwasaidia wakimbizi kupata makazi mazuri, ajira, elimu bora pamoja na huduma nzuri za kiafya ili waweze uanzisha maisha mapya huko Serbia.

Nikola Kovačević pia ni mwanachama wa shirika lisilo la kiserikali liitwalo A11 Initiative for Human Rights lipatikanalo Belgrade.

Maisha ya Kibinafsi

[hariri | hariri chanzo]

Ana ndugu wawili, Uroš (alizaliwa 1993), ambaye pia ni mchezaji wa voliboli, na Savo. Aliolewa na Jasmine na wana watoto wawili pamoja naye, wasichana Mia na Emma. Mnamo Mei 2016, aliolewa na Ana (binti Matijasević), ambaye ni binti wa kocha wa voliboli Nikola Matijasević na dada wa meneja wa wachezaji wa voliboli Georges Matijasević. Pamoja na Ana, ana wana wawili, Noa na Teo.

  1. "Nikola Kovačević, pravnik za ljudska prava, dobitnik Nansenove nagrade" [Nikola Kovačević, human rights lawyer, winner of the Nansen Award]. Danas (kwa Serbian). 29 Septemba 2021.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
  2. Diković, Jelena (10 Oktoba 2021). "Nikola Kovačević: Tražiocima azila dati odmah putne isprave i radne dozvole" [Nikola Kovačević: Give asylum seekers travel documents and work permits immediately]. Danas (kwa Serbian). Iliwekwa mnamo 14 Oktoba 2021.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nikola Kovačević (mwanasheria) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.