Nika Babnik

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nika Babnik (alizaliwa Septemba 17, 1998) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa slovenia anayecheza kama kiungo wa kati kwa klabu ya Vitória Sport Club (Guimaraes) nchini Ureno pamoja na timu ya taifa ya wanawake ya Slovenia.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. UEFA.com. "Nika Babnik | UEFA Champions League 2023/24". UEFA.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-26. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nika Babnik kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.