Nicolás Otamendi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Otamendi akiwa anakwenda kwenye mapumziko.

Nicolás Otamendi (matamshi ya Kihispania: [nikoˈlas otaˈmendi]; alizaliwa tarehe 12 Februari 1988) ni mchezaji mahiri wa timu ya Manchester City na anaichezea timu ya taifa ya Argentina hucheza kama kiungo wa kati.

Aliwahi kuchezea timu ya Vélez Sarsfield na Porto ambapo alishinda tuzo nane za mchezaji bora mwaka 2011. Alisaini mkataba na Manchester City tangu mwaka 2015 akitokea Valencia ambapo Manchester City alichukua kombe la ligi mwaka 2017 na 2018.

Nicolás Otamendi tangu mwaka 2009 amecheza mara mbili katika mashindano ya kombe la dunia na katika mashindano ya Copa America.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nicolás Otamendi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.