Nenda kwa yaliyomo

Nicholas Biwott

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Biwott mwaka 1998 kama Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Kikanda

Nicholas Kipyator Kiprono arap Biwott (1940 - 11 Julai 2017) alikuwa mfanyabiashara, mwanasiasa, na mfadhili wa Kenya, ambaye alifanya kazi katika serikali ya baba wa uhuru wa Kenya, Jomo Kenyatta na Daniel arap Moi.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Kenya's former powerful minister dies". The East African (kwa Kiingereza). 2020-07-28. Iliwekwa mnamo 2024-03-06.