Ng'ambo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ng'ambo inamaanisha mahali palipo upande mwingine wa kizuizi fulani kama mto, bonde, mlima au bahari. Mara nyingi inatumiwa kutaja sehemu iliyo mbali sana, kwa mfano "alienda kusoma ng'ambo" yaani katika nchi nyingine, kwa kawaida hata nje ya Afrika.

Neno latumiwa pia kama jina la maeneo kama kata, vijiji au vitongoji katika sehemu mbalimbali za Afrika ya Mashariki.


Disambig.svg
Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana

Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.