Neuwied
Mandhari
| Neuwied | |
| Nchi | Ujerumani |
|---|---|
| Jimbo | Rhine-Palatino |
| Idadi ya wakazi | |
| - Wakazi kwa ujumla | 64.591 |
| Tovuti: http://www.neuwied.de/ | |
Neuwied ni mji wa Rhine-Palatino nchini Ujerumani ya Magharibi. Idadi ya wakazi wake ni takriban 64.591.
Usafiri
[hariri | hariri chanzo]Neuwied ipo Mstari wa reli wa Rhine mashariki, luna huduma za RE8 (Koblenz- Monechengladbach) RB10 (Neuwied - Koblenz- Wiesbaden - Frankfurt na ya RB27 kutoka Koblenz to Monechengladbach via Köln.
Pia kata ya Engers ni mwanzo ya Mstari ya reli Engers - Au (Sieg).
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Neuwied kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
