Nenda kwa yaliyomo

Nele Alder-Baerens

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

'

Nele Alder-Baerens
Nele Alder-Baerens asubuhi 19.5.2019 na ihrem Lauf
Amezaliwa1978
Kazi yakeMwanariadha


Nele Alder-Baerens (alizaliwa tarehe 1 Aprili 1978) ni mwanariadha wa mbio ndefu na marathon kutoka Ujerumani. Anachukuliwa kama mmoja wa wanariadha wa mbio ndefu bora zaidi kutoka Ujerumani aliyewakilisha taifa lake katika Deaflympics.[1][2] Nele Alder-Baerens ameuwakilisha Ujerumani katika Deaflympics mwaka 1997, 2001, 2005, 2017, na mwaka 2022, akipata medali 5 katika taaluma yake ya Deaflympic, ikiwa ni pamoja na medali 2 za dhahabu..[3] Yeye pia ndiye bingwa wa marathon ya wanawake katika Deaflympics. Nele pia anashikilia baadhi ya rekodi za dunia za kiziwi katika riadha za wanawake.[4]

  1. temp_adm. "Nele Alder-Baerens — Presseportal". www.hu-berlin.de (kwa Kijerumani). Iliwekwa mnamo 2017-12-13.
  2. "Nele ALDER-BAERENS". Deaflympics. Iliwekwa mnamo 2022-05-10.
  3. "Deaflympics 2017 Samsun". www.deaflympics2017.org (kwa Kituruki). Iliwekwa mnamo 2017-12-13.
  4. LAUFTICKER.DE. "Alder-Baerens, Nele". www.laufticker.de (kwa Kijerumani). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-12-21. Iliwekwa mnamo 2017-12-13.