Neil Taylor
Mandhari
Neil John Taylor (amezaliwa 7 Februari 1989) ni mchezaji wa soka wa Wales ambaye anacheza kama beki wa kushoto katika klabu ya Aston Villa F.C. na timu ya taifa ya Wales.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Neil Taylor kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |