Nenda kwa yaliyomo

Ndugu wa Kiume na wa Kike wa Bethlehemu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Ndugu Wabethlehemu)
Petro wa Betancur

Ndugu wa Kiume na wa Kike wa Bethlehemu ni utawa wa Kanisa Katoliki ambao ulianzishwa na Petro wa Betancur nchini Guatemala katika karne ya 17, ukiwa wa kwanza barani Amerika.

Baada ya kufutwa, ulifufuliwa na Papa Yohane Paulo II tarehe 16 Januari 1984. Ndiye aliyemtangaza mwanzilishi kuwa mwenye heri, halafu mtakatifu.

Mwaka 2005 tawi la kiume lilikuwa na ndugu 7 katika konventi 2.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ndugu wa Kiume na wa Kike wa Bethlehemu kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.