Nenda kwa yaliyomo

Ndidi Kanu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ndidi Kanu
Amezaliwa 26 Agosti 1986
Nigeria
Kazi yake Mwanasoka

Ndidi Kanu (alizaliwa 26 Agosti 1986) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Nigeria ambaye alicheza katika klabu ya wanawake ya Odense Q.[1][2]

Maisha ya Awali

[hariri | hariri chanzo]

Kanu alizaliwa katika mji wa Abuja mwaka 1986. Kanu alicheza katika klabu ya Queens na kuhamia klabu ya Odense BK nchini Udeni mwaka 2006 kwa mkataba wa miezi sita. [3][4]

  1. "OB ser på nye nigerianere - fyens.dk - Sport - Fyens Stiftstidende". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-21. Iliwekwa mnamo 6 Februari 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Sasvari to coordinate Girls teams for top local club! Ilihifadhiwa 23 Januari 2016 kwenye Wayback Machine.}}
  3. "Ny nigerianer i OB". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-02-16. Iliwekwa mnamo 2022-05-13.
  4. "Nigeria - N. Kanu - Profile with news, career statistics and history - Soccerway". ng.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2023-02-26.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ndidi Kanu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.