Nasaba ya Tudor

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nasaba ya Tudor ilikuwa ukoo wa kifalme iliyotawala Uingereza kwa muda wa miaka 118, kuanzia 1485 hadi 1603.

Mfalme wa kwanza wa Tudor alikuwa Henry VII aliyemshinda mfalme Richard III katika vita ya waridi.

Bunge likamkubali Henry kama mfalme wa kweli. [[Nasaba] ilikwisha wakati malkia Elizabeth I wa Uingereza alipofariki dunia bila mrithi. Hivyo mtoto wa binamu yake alipokea taji akaanzisha nasaba ya Stuart.

Watawala wa nasaba ya Tudor[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nasaba ya Tudor kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.