Nargis Mohamed

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nargis Mohamed ni mrembo nchini Tanzania aliyewahi kushiriki shindano la Miss Tanzania mnamo mwaka 2003 na kufanikiwa kushika nafasi ya tatu katika kinyang'anyiro hicho. Baadae mwanadada huyu alijikita katika masuala ya biashara, hasa za mambo yanayohusu urembo, kwa kutumia mitandao ya kijamii. [1]

Nargis pia anajulikana kama mwigizaji wa filamu. Moja ya filamu alizowahi kushiriki inajulikana kwa jina la Magic House.[2]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2017-11-24. Iliwekwa mnamo 2018-12-01.
  2. https://www.imdb.com/name/nm10226939/bio?ref_=nm_ov_bio_sm
Biofilm.png Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nargis Mohamed kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.