Nanako Fujii

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Nanako Fujii (藤井 菜々子, Fujii Nanako, alizaliwa mei 1999) ni mwanariadha wa kutembea wa Japani.[1] Anaiwakilisha Japani kwenye michuano ya riadha ya Dunia 2019. Alikuwa wa saba kwenye mbio za wanawake za kilomita 20.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "The profile of personal autonomy in athlete and non-athlete adolescents". Discobolul – Physical Education, Sport and Kinetotherapy Journal. 2019. doi:10.35189/iphm.icpesk.2019.49 . ISSN 2286-3702 . http://dx.doi.org/10.35189/iphm.icpesk.2019.49.
  2. Ray's Race and Walk: August 20, 2005. PsycEXTRA Dataset (2005). Iliwekwa mnamo 2021-10-11.