Nagia Essayed

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nagia Essayed ni mwanasiasa wa Libya.

Mhandisi huyo ni Kamishna wa Rasilimali Watu, Sayansi na Teknolojia ndani ya Umoja wa Afrika.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. AU seeks greater engagement from science ministers (en-US). SciDev.Net. Iliwekwa mnamo 2021-06-20.