Nage
Mandhari
Nage ni mchezo asilia wa watoto wa Afrika Mashariki.
Mchezo huu unafanana na rede lakini unashirikisha watoto wanne na kuendelea na ukaaji wao ni tofauti, kwa kuwa wachezaji hujipanga pande nne, na mchezeshaji mmoja hukaa katikati ili apate mpira ambao walio nje ya duara wanarushiana. Akifaulu kuudaka, hujiunga na wachezaji walio katika duara, na mtoto aliyeurusha anaingia katikati badala yake.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nage kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |