Nenda kwa yaliyomo

Mwanahamisi Shurua

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mwanahamisi Omary Shurua
Maelezo binafsi
Tarehe ya kuzaliwa 16 Oktoba 1989
Mahala pa kuzaliwa    Tanzania
Nafasi anayochezea Mshambuliaji
Timu ya taifa
Timu ya Taifa ya Wanawake Tanzania

* Magoli alioshinda

Mwanahamisi Omary Shurua (alizaliwa 16 Oktoba 1989), ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Tanzania ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Simba Queens na Timu ya Taifa ya Wanawake Tanzania.[1]

Ushiriki Kimataifa

[hariri | hariri chanzo]

Mnamo mwaka 2018, Shurua alifunga bao moja katika mashindano ya Kombe la Wanawake la CECAFA 2018 baada ya ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Ethiopia katika mechi yao ya mwisho ya makundi[2][3] [4][1]


  1. 1.0 1.1 Saddam, Mihigo. "CECAFA WOMEN 2018: Tanzania yatwaye igikombe ku nshuro ya kabiri yikurikiranya-AMAFOTO - Inyarwanda.com". inyarwanda.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-02-27.
  2. "Five nations confirm participation in 2018 Cecafa Women's Championship". JWsports1 (kwa Kiingereza (Uingereza)). 2018-07-03. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-02-21. Iliwekwa mnamo 2022-02-21. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  3. "Video: Tanzania pull stunning comeback to retain Cecafa title". JWsports1 (kwa Kiingereza (Uingereza)). 2018-07-29. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-02-21. Iliwekwa mnamo 2022-02-21. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  4. Isabirye, David (2018-07-28). "Tanzania humbles Ethiopia to win 2018 CECAFA Women title". Kawowo Sports (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-02-26.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mwanahamisi Shurua kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.