Muziika Online

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Makala hii inahusu mada au mtu asiyejulikana sana. Kuna mashaka kama mada inastahili kuwa na makala katika kamusi. Onyo hili linaweza kuwekwa pia kama makala haionyeshi umaarufu, hata kama upo.

Watumiaji wanaombwa kushiriki katika majadiliano kama makala hii inafaa kubaki au la. Tazama:Wikipedia:Umaarufu

Unaweza kuondoa kigezo hiki kama majadiliano yametokea na washiriki walipatana.

Muziika Online
Faili:Muziika Online.jpg
Shina la studio Dapstrem Entertainment
Imeanzishwa 2019
Mwanzilishi Brian Nduta
Usambazaji wa studio Zojak Worldwide
(Nchini Marekani)
Zeer Production
(Nchini Kenya)
Dapstrem Entertainment
(Dunia Nzima)
Aina za muziki Genge
Nchi Kenya
Mahala Nairobi, [[]]
Tovuti muziikaonline.com

Muziika Online ni Kampuni ya kukuza sanaa na usimamizi wa sanaa. Ilianzishwa mwaka 2019 na Brian Nduta kisha ikanunuliwa na kampuni ya UBAO LMS LLC

Historia[hariri | hariri chanzo]

Muziika Online ilipata umaarufu mwaka wa 2020, ilipofanya mziki wa Gengetone , Zimepanda (wimbo) iliyoshirikisha wasanii wakubwa kwenye aina ya mziki hiyo ya Gengetone Militan,VDJ Jones,Iano Ranking,Bussa J na Joseph Hill.