Muundo wa data

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Katika utarakilishi, muundo wa data (kwa Kiingereza: data structure) ni mpangilio wa data unaowezesha upatikanaji na mabadiliko yenye kufaa. Kwa usahihi zaidi, muundo wa data ni mkusanyo wa thamani za data, uhusiano kati ya thamani hizo na operesheni zinazoweza kutumika kuhusu data hizo.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Kiputiputi, O. (2011). Kamusi sanifu ya kompyuta. Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, K.602.