Muhammad Ali (maana)
Mandhari
Muhammad Ali ni jina la watu mbalimbali. Jina hili linaunganisha majina mawili ambayo ni muhimu katika Uislamu yaani Muhammad (nabi wa Uislamu) na Ali (mkwe wa Muhammad, baba wa wajukuu wake na khalifa wa nne).
Kati ya watu wenye jina hili ni
- Muhammad Ali aliyezaliwa kwa jina Cassius Clay (1942 - 2016), bondia mashuhuri wa Marekani
- Muhammad Ali Pasha (1769 - 1849), mtawala wa Misri