Nenda kwa yaliyomo

Mtumiaji:Wikirondy/Uwezo wa kubadilika

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwezo wa kubadilika Ni dhana ambayo elimu, maendeleo ya mtoto na programu za maendeleo ya vijana vikiongozwa na watu wazima vinazingatia uwezo wa mtoto au kijana kupata haki zake mwenyewe. Pia inahusishwa moja kwa moja na haki ya kusikilizwa, inayowahitaji watu wazima kujali  wajibu wao wa kuheshimu haki za watoto, kuwalinda na madhara na kuwapa nafasi  ya kupata haki zao.[1] Dhana ya  uwezo wa  kubadilika inatumika kimataifa kama  mbadala wa moja kwa moja wa dhana maarufu ya maendeleo ya vijana na watoto.[2]

  1. Lansdown, Gerison (2005). The evolving capacities of the child. UNICEF. Innocenti Research Centre. Florence, Italy: Save the Children. ISBN 88-89129-15-8. OCLC 63166928.
  2. "Worlds of Influence". Innocenti Report Card. 2021-04-02. doi:10.18356/9789210053037. ISSN 2519-108X.