Mtumiaji:Stuart Njagi/Virginia Raffaele

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Stuart Njagi/Virginia Raffaele

Virginia Raffaele (alizaliwa 27 Septemba 1980) ni mchekeshaji Mwitalia, mwigizaji, mwigaji na mtangazaji.

Maisha na kazi[hariri | hariri chanzo]

Raffaele ni mzaliwa wa Roma, ni binti wa wasanii wawili wa sarakasi ,[1][2] Raffaele alisomea ngoma ya kitambo na kisasa kwenye Chuo cha kitaifa cha Densi cha Roma na mnamo 1999 alihitimu katika Accademia Teatro Integrato iliyoongozwa na Pino Ferrara.[3]

Raffaele alianza kazi yake kwenye jukwaa, mara nyingi akifanya kazi kama naibu ya wachekeshaji wawili Lillo & Greg [1][3] kundi ya wawili ya vichekesho baada ya kuanza kama mwandishii kwenye programu ya Rai 2 Quelli che... il Calcio,[3] Alijulikana kwa uigaji wake na ubishi katika Italia 1 show Mai dire Grande Fratello Show. Kisha alionekana kwenye maonyesho mengine kadhaa, pamoja na "Victor Victoria", Striscia la notizia, vipindi viwili vya Le invasioni barbariche na "Amici". Alionekana pia kama mwigizaji katika filamu kadhaa na safu za runinga .[1]

Baada ya kuonekana kama mgeni katika toleo la 65 la Tamasha la Muziki la Sanremo, Raffaele alichaguliwa kuandaa mwaliko wa Sanremo Music Festival 2016 | toleo la 66 na kuwa mwenyeji wa Sanremo Music Festival 2019 | Toleo la 69 ya Tamasha.[1][2]

Filmogafia[hariri | hariri chanzo]

Filamu
Mwaka Jina Uhusika Maelezo
2004 Ladri di barzellette Muigizaji Cameo appearance
2005 Romanzo Criminale Nicolino's girlfriend
2011 Faccio un salto all'Avana Annaclara
2012 Love Is in the Air Juanita
2013 The Fifth Wheel Mara
2014 Big Hero 6 Cass Hamada Kiitalia; Sauti
A Woman as a Friend Patrizia
2019 The Addams Family Morticia Addams Kiitalia; Sauti
Televisheni
Mwaka Jina Uhusika Maelezo
2005 Bla Bla Bla Yeye mwenyewe/ Mwigizaji Onyesho anuwai; Toleo la 15
Il maresciallo Rocca Virginia Toleo : "Il male ritorna"
2006–2007 NormalMan Mrs. Cassani Mhusika mkuu; Toleo la 22
2008 Domenica in Yeye mwenyewe/ Mgeni Kipindi cha mazungumzo
2009 L'onore e il rispetto Yeye mwenyewe Toleo: "Quarto episodio"
2009–2010 Victor Victoria Yeye mwenyewe/ Mgeni Kipindi cha mazungumzo
2010–2013 Quelli che... il Calcio Yeye Mwenyewe/ Msanii Onyesho anuwai
2012 2012 Concerto del Primo Maggio Yeye Mwenyewe Tamasha
2013 2013 MTV Awards Yeye mwenyewe/ Host Tukio
Striscia la notizia Yeye mwenyewe/ Mgeni Onyesho anuwai
2015–2016 Amici di Maria De Filippi Yeye mwenyewe/ Mgeni maalum Onyesho la talanta
2016 2016 Sanremo Music Festival Yeye mwenyewe/ mwenyeji mwenza Tamasha la muziki la kila mwaka
Dov'è Mario? Marika Toleo: "Secondo episodio"
Stasera Casa Mika Yeye mwenyewe/ Mgeni Onyesho la muziki
2018 Come quando fuori piove Gregoria Mhusika mkuu; Toleo la 6

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Kigezo:Udhibiti wa mamlaka