Mtumiaji:LeonaRIC LesaBIRD/Tomboy
Mandhari
Tomboy ni neno ambalo hutumika kwa msichana au mwanamke kijana mwenye sifa za kiume. huweza kuhusisha uvaaji wa nguo ambazo hazina sifa za kike na kwa ukamilifu kushiriki katika michezo wa kimwili au shughuli nyingine mara zote zinazohusiana na wavulana au wanaume.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Bailey, J. Michael; Bechtold, Kathleen T.; Berenbaum, Sheri A. (2002). "[No title found]". Archives of Sexual Behavior. 31 (4): 333–341. doi:10.1023/A:1016272209463.