Nenda kwa yaliyomo

Mtumiaji:Kisare/Hisabati ya juu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hakuna makala mengi kuhusu hisabati ya juu, kama vile kalkulasi. Nataka kurekebisha hiyo.

Kalkulasi[hariri | hariri chanzo]

Misingi[hariri | hariri chanzo]

  • Function: Husisho
  • Variable: Kigeugeu (pendekezo la "kamusi ya biolojia, fizikia, na kemia")
    • dependent variable: namba tegemezi/kigeugeu tegemezi
  • Constant: Kibaki (pendekezo la "kamusi ya biolojia, fizikia, na kemia")
  • Infinity: usokomo (pendekezo la Kipala na "kamusi ya biolojia, fizikia, na kemia")
  • Limit: kikomo
    • "its limit as x approaches infinity" => "kikomo chake x ikielekea usokomo"
  • Derivative: Kinyambuo
    • Differentiation: Utenguaji
    • Differential (noun or adjective): tenguo
    • "the derivative with respect to..." => "kinyambuo kuhusu..."
  • Integral: Kamilisho (Kiarabu pia kinaweza "kamili" kwa dhana ya integral)
    • Integration: Ukamilishaji

Draft articles[hariri | hariri chanzo]