Athari za vita kwa watoto
Mandhari
(Elekezwa kutoka Mtumiaji:CJudy24/Athari za vita kwa watoto)
Athari za vita kwa watoto ni majeraha ya kimwili na kiakili kutokana na mapigano.
Idadi ya watoto katika maeneo ya vita ni takribani milioni 250.[1]
Migogoro ya kisilaha, inaelezwa katika namna mbili:
- Migogoro ya kisilaha ya kimataifa, inayopinga nchi moja au zaidi,
- Migogoro ya kisilaha isiyo ya kimataifa, ama kati ya vikosi vya serikali na makundi yenye silaha yasiyo ya kiserikali, ama kati ya makundi hayo yenyewe kwa yenyewe.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Conflict". UNICEF USA (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-11-30.
- ↑ "How is the term "Armed Conflict" defined in international humanitarian law? - ICRC". www.icrc.org (kwa American English). 2008-03-17. Iliwekwa mnamo 2023-03-12.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |