Mto Wilge

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Mto Wilge unaopatikana katika majimbo ya Mpumalanga na Gauteng, Afrika Kusini ni tawimto mojawapo la mto Olifants (Limpopo).

Chanzo cha mto Wilge kipo umbali wa takribani kilometa 15 kaskazini magharibi mwa Leandra. [1] Hutiririsha maji yake kuelekea kaskazini na kujiunga na mto Bronkhorst, kisha kubadili mwelekeo na kutiririsha maji yake kuelekea kaskazini mashariki na kujiunga na mto Olifants takribani kilometa 12 kutoka bwawa la Loskop.[2]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

SouthAfricanStub.png Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Wilge kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.