Mto Save (Afrika)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
muonekano wa mto save ,malawi

Mto Save (Afrika) (au Sabi) ni mto wa Zimbabwe na Msumbiji unaotiririka kwa kilometa 400. Maji yake yanaishia katika Bahari ya Hindi.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Save (Afrika) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.